Blogger Widgets Blogger Widgets

Wednesday, April 8, 2015

HUDDAH AMSHAMBULIA KWA MATUSI MITANDAONI RAISI WA KENYA

Huddah Monroe Hips1
Huddah Monroe amechafua kurasa za mitandao ya kijamii baada ya kuchukua nafasi kuzungumza vile yeye anavyofeel baada ya mauaji yaliyotokea katika Chuo kikuu cha Garrisa,Ikumbukwe jana ilikuwa siku ya mwisho ya maombolezo ya mauaji yaliyotokea Kenya ,Huddah ambaye ameibebesha lawama serikali ya Uhuru Kenyatta pia akistaajabu iweje katika kipindi kifupi ambacho Uhuru kakaa madarakani kumetokea matukio mbalimbali ya kigaidi.
Hii ndio post ya Huddah Monroe: Come 2017 . Uhuru and his people will need to sit their ass down ! Between 2012 and 2015 lots of lives have been lost. Our economy has totally deteriorated. There’s No money circulating in this country . We are broke. They lied to us they defeated Alshabab , but they only dispersed them out of Somalia.We dont need prayers only , we need to demand for SECURITY! Upgrade our ammunition, bring back KDF out of Somalia and into our borders instead of Training police recruits and sending them to fight militants with less experience, what are they going to use ? Sticks and stones ? Remember the 38 young policemen who were gunned down at the valley of death in Samburu? Kenyans need to react because after all this The only thing we end up with is a hash tag #PrayForKenya #WEareONE and nothing is ever done ! #Navumilia Na #NajihurumiaKuwaMkenya

No comments: