Blogger Widgets Blogger Widgets

Sunday, April 12, 2015

NELLY AKAMATWA NA POLISI JANA

Rappa Nelly anashikiliwa na Polisi wa Tennese kwa kosa la kukutwa na aina ya madawa ya kulevya(bangi,Meth) kwenye basi lake la tour aina pia anashikiliwa kwa kosa yingine la kukutwa na lundo la bastola kwenye basi lake hilo

 View image on Twitter

Juu picha ikimwoshenya Nelly baada ya kukamatwa na polisi akiwa kituo cha polisi,Polisi wanadai walitilia mashaka bus lake baada ya kumtaka Nelly aonyeshe stika ya U.S. Department of Transportation and International Fuel Tax Association na Polisi walipo sogelea basi hilo wakasikia harufu ya bangi ndipo ikawabidi wafanye upekuzi basi zima.

Aidha Nelly hiyo  sio mara yake ya kwanza kukutwa na drugs kwenye basi lake ikumbukwe October mwaka 2012 pia polisi walimkamata kwa kosa la kukutwa na heroin, marijuana,pamoja na siraha za kutosha kwenye basi lake lakini Polisi walimwachia huru kifupi hakwenda jela.

No comments: