Blogger Widgets Blogger Widgets

Friday, January 15, 2016

EX WA PREZZO KUFUNGA NDOA NA RAPA WA TANZANIA MWAKA HUU


EX wa zamani wa Prezzo ambaye anatambulika sana kupitia social media kwa jina la Chaga Barbie, Chaga barbie anasema aliachana na Prezzo baada ya kugundua Msela anamtumia kwaajili ya kujipatia pesa hivyo haikuwa true love ambayo yeye alitegemea.

Chaga Barbie sasa ana"date" na Rapa wa Tanzania ambaye ni "Nay wa Mitego" na wapo mbioni kufunga ndoa mwaka huu,Nay wa Mitego alisikika hivi karibuni katika interview moja akisema yupo tayari kujenga familia na Barbie na ana imani atakuwa mama bora kwa watoto wake,akiongezea kwakuwa huwa anatumia code yake ya siri ambayo ni 966 na mwaka huu ni 2016 hivyo anaamini mwaka huu utakuwa ni wa bahati sana kwake.

No comments: