Breezy amezidi kuwashangaza mashabiki wake na kumfanya aongeze idadi kubwa ya mashabiki kwani hata mashabiki wa hip hop wanamkubali aliaanza kuzihirisha hayo baada ya kutokea mara kadhaa kwenye michano ya BET award sasa aamua kutoa singo ya michano alizihirisha hayo baada ya kutimba kwenye party ya Diddy akiwa na mwanadada Rihanna a.k.a mke mtarajiwa wa Breezy kwenye Party hiyo Chris alipeleka sample hiyo ya video ambayo Dj aliplay kidogo kwenye hiyo party iliyofanyika L.A
kuhusu singo hiyo chriss mwenyewe hajaweza kudhibitisha ukweli kamili so keep waiting kwenye album yake ya sita huenda ukasikia vitu hivyo vipya
No comments:
Post a Comment