Rapper snoop double D anatarajia kuzindua album yake mpya april 23 akiwa sindikizwa na chriss brown,T.I, Busta Rhymes na Drake katika uzinduzi huo wa hiyo album yake ambayo ina mahadhi ya reggae ingawa ukiangalia watu wanaomsindikiza kama vile T.I ni watu wanaofanya Hip-Hop na sio reggae mashabiki walitegemea snoop angesindikizwa na watu wanaofanya reggae kama mavado, Sean paul lakini imekuwa tofauti amewachagua marafiki zake marapper kwenye uzinduzi huo.
haya wale wapenzi wa snoop na wapenzi wa reggae mzigo unadondoka April 23 kazi kwako kutingisha rasta>>>>
No comments:
Post a Comment