Natoa ngoma hazigongwi,no shwz,hakuna chcht but utaskia kapigana mgomvi habadiliki,mimi ambae nimefanya kazi na wasanii woote?nawapigaje?
— Chidi Beenz Chuma. (@ChidiBeenz) April 12, 2013
Wasanii wengi waoga kutokana na hali halisi ya maisha waliyotoka,sio wa kuchekwa.wasanii wengi wanafiki koz hawajiamini kiuwezo binafsi.
— Chidi Beenz Chuma. (@ChidiBeenz) April 12, 2013
@jidejaydee kuna watu wametoka jasho,damu,machozi,hasira,joto na hawajawai poa.hunger 4 more.huwez kuogopa kutoboka kama umeshawai kuchanika
— Chidi Beenz Chuma. (@ChidiBeenz) April 12, 2013
No comments:
Post a Comment