Nyimbo hiyo iitwayo “rocko”"U.O.E.N.O.," kampuni hiyo ya rebook imesema boss wa may back music kafail kuipandisha brand yao juu .
Track hiyo amabayo aliitoa mwanzoni mwa february imekuwa ikimletea matatizo sana baada ya chama cha kutetea haki za wanawake “Ultra violet” kuandamana mpaka kwenye ofisi za rebook kushinikiza kampuni hiyo ya viatu kusitisha haraka mkataba wake na rick ross baada ya kudai kudharirishwa ingawa rick ross alijaribu kujitetea kuwa ni misinterpretation za lyrics zake na wala hakuwa na mawazo hayo wanayowaza wao,he said. "I would never use the term 'rape' in my records and as far as my camp. Hip-hop don't condone that, the streets don't condone that, nobody condones that." vile vile rapper huyo aliingia kwenye account yake ya twitter na kujaribu kuomba msamaha lakini bado haikuzaa matunda and was too late
mfano wa lyric ambayo wanadai inachochea ubakaji "Put Molly all in her champagne, she ain't even know it/ I took her home and I enjoyed that, she ain't even know it,…………."
No comments:
Post a Comment