![](http://2.bp.blogspot.com/-1xz6R8fzUH4/UV3cC5f7iXI/AAAAAAAAAwk/HlzSXmCPXvA/s320/beyonce-pepsi-campaign-can.jpg)
Thursday, April 4, 2013
BEYONCE SURA YAKE YAWEKWA KWENYE PEPSI MPYA PAMOJA NA KULA SHAVU LA TANGAZO LA PEPSI
Pepsi relaunches its brand with the help of Beyoncé.
Beyoncé appears to be Pepsi's new brand ambassador. Does that make you want to pick up a metallic blue can now? She thinks it should.
Mwanamama huyu amepewa shavu hilo baada ya hivi karibuni kuachia singo zake mbili inaonekana kukaa kwake kimya kwa muda kulikuwa na faida kwake,au ndio ule usemi wa ukiona kobe kainama ujue anatunga sheria. Pia kampuni hiyo ya pepsi itakuwa ikisponsor tour zake zijazo..kwa maana hiyo Pepsi zitakuwa zinauzwa kwa kila show zake atakazo kuwa anafanya
duuh na sisi tunaisubiri hiyo Pepsi sijui itakuwa na radha ya kibeyonce beyonce aka mi simo bro jay asije akarusha ngumi bure!!!!
![](http://2.bp.blogspot.com/-1xz6R8fzUH4/UV3cC5f7iXI/AAAAAAAAAwk/HlzSXmCPXvA/s320/beyonce-pepsi-campaign-can.jpg)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment