![](//4.bp.blogspot.com/-92dZ0dxkPxM/UV3izkliEQI/AAAAAAAAAws/eCfGIT37040/s320/jaybey.jpg)
Jay z na Beyonce wamesherekea anniversary yao huko cuba katika mgahawa wa Havana ..wawili hao wapendanao walifika katika mgahawa huo kwa ajili ya kula dinner yao kusherekea miaka mitano katika ndoa walijikuta katika wakati mgumu baada ya umati wa watu kuwajaria na ilibidi polisi wa nchi hiyo waingilie kati kwa kuwatawanya watu hao mana mama blue ivy alishindwa kushuka kwa kwenye usafiri kwa kuhofia usalama wake lakini baada ya polisi kuwazia pembeni ndipo Beyonce alishuka na kuwapungia mkono mashabiki wake..picha hapo juu ndio jinsi walivyotoka leo mke na mume hapo wakiwa kwenye mgahawa huo wa havana
No comments:
Post a Comment