Ray j ambaye zamani aliwahi kudate na kim na huku pia kusambaa kwa video yao ya ngono mitandao baada ya kimya kirefu sasa Ray j ameamua kurudi upya huku dongo lake akiwa analielekeza kwa mama kijacho(kim)..kaka huyo wa brandy ngoma yake hiyo mpya itakuwa inaenda kwa jina la Hit it first hebu ngoja tusubiri track hiyo tuone kaongea nini huyo..
No comments:
Post a Comment