Blogger Widgets Blogger Widgets

Wednesday, November 21, 2012

MISS EAST AFRICA 2012 NI TAREHE 7 DECEMBER - MLIMANI CITY

Miss-East-Africa-ERITREA

LIle shindano la kumtafuta mshiriki atakaye iwakilisha east africa katika maswala ya ulimbwende limepangwa kufanyika mnamo tarehe 7 mwezi wa kumi na mbili katika ukumbi wa mlimani city

haya wadau wa maswala haya tujipange tusubiri kushuhudia nani ni nani na kutoka nchi gani ataibeba vyema bendera ya nchi yake katika shindano hili

No comments: