@jidejaydee Yeeeeaaah!!! Nakupa 5 then inakuwa #Ceeeleeebration"
— Ben Pol (@IamBenPol) April 22, 2013
hii imetokea baada ya lady jay kusikia kipande alichoimba ben pol kwenye track yake mpya ikumbukwe kuwa lady jay dee wiki kadhaa nyumba walipishana lugha katika mtandao wa kijamii wa twitter na wanaripoti wengi wakaasambaza kuwa ben pol na komando machozi wanabifu
hebu kisikilize kipande hicho nawe:
No comments:
Post a Comment