Swedish Police say they found drugs in the 19-year-old Baby singer's blacked out tour bus while it was parked outside his hotel


Hili ndio basi analotumioa JB kwenye tour zake na ndilo lililokutwa na madawa hayo ambapo polisi hao wanadai walinusa harufu iliyokuwa ikitoka katika busi hilo

kutokana na mascandal yanayo mkabili young huyu anaanza kupoteza mashabiki pole pole hebu tizama seat zikiwa hazina watu ambacho kitu adimu sana kwa wenzetu kwa wasanii wao wakubwa
No comments:
Post a Comment