
KANYE: anawaza"hivi huyu jamaa haoni tumbo hilo au anajiona ye handisum!!"
KIM: anawaza:" duuh jamaa kaning'ang'ania haoni husband alivokunja sura ova anakamuliwa jipu"
JAMAA:anawaza"daah mtoto laini huyu "

KANYE:"Hebu twende huko unajifanya we star kuliko mimi mambo gani kukutiana aibu mbele za watu"
KIM K: "hahahaha baba kijacho una wivu wewe mmh"

KANYE:"Walaah!! utakuja nisababisha ni mtwange mtu risasi za pua"
KIM K:"hoohooo na tumbo hili anitake nani mie!!?"

KANYE:"unamwangalia nani tena huko"
KIM K: "jamani jamanii hakuna ktu"

KANYE:"Naona unataka kuharibu siku panda kwenye gari twende"
KIM K:"mmh!! mi niseme nini twende tu"

KIM K:"Baba kijacho unabung'aa nini?"
KANYE:anawaza" daah huyu manzi ananipa ugonjwa wa moyo"
No comments:
Post a Comment