Blogger Widgets Blogger Widgets

Friday, May 24, 2013

AKON KUFUNGUA CLUB KUBWA

Akon performs at the 2013 Billboard Music Awards at the MGM Grand Garden Arena on Sunday, May 19 in Las Vegas. (Photo by Chris Pizzello/Invision/AP)

RnB singer Akon hafanyi zaidi ya kuimba pekee yake au music tu ,the hit maker akon ambaye hivi karibuni alimsainisha msanii Lady Gaga kwenye Label ya KonLive Distribution record sasa kuja na kitu kipya baada ya kuwekeza kwenye dili kibao sasa Akon kufungua bonge la club katika nchi ya Dominica republic club hiyo inayokadili kuwa na ukubwa wa 10,000 futi za mraba, night club hiyo amabayo imepewa jina la Jewel Punta Cana Disco Clubb ambayo ipo Punta Cana (Dominican Republic).

No comments: