Blogger Widgets Blogger Widgets

Friday, May 24, 2013

NAMELESS NA WAHU KUPATA MTOTO WA PILI MWEZI WA NANE

Nameless wife a singer Wahu kakubali zile tetesi kuwa ni mjamzito alipokuwa akichat na fans wake na kudai kuwa mtoto huyo wa pili anategemea kuiona dunia mapema ya mwezi wa nane mtoto huyo atakuwa ni wapili wakwanza sasa hivi ana miaka 7 ambaye ni wakike couple hii imekuwa ni couple supa kwa EAst africa mana haina scandal za ajabu ajabu kama zilivyo couple nyingine...All the Best kwao na Hongera Mr.Narudi nyumbani(Nameless)

No comments: