Blogger Widgets Blogger Widgets

Sunday, June 16, 2013

AKON SASA AINGIA KWENYE MBIO ZA MAGARI


Akon amezidi kujiimarisha kiuchumi baada ya kuzindua program mpya inayohusu mbio za magari na kuipa jina la"Akon motor sports" na tayari kesha msainisha Joe Henderson III na kampuni hiyo inategemea kuanza kufanya kazi mwaka huu kwenye mbio za magari za NASCAR Season na Henderson ndio ataanza kupiga mzigo rasmi na bosi wake Akon anamwaminia ile mbaya "the best driver you have ever seen in your life,"Akon alifunguka
Akon alisema "“I got into motorsports because I've always had a love for cars, Cars were always something that gave me that excitement and that rush for life. That was what really motivated me to get into motorsports."
Joe Henderson III ataanza mbio hizo za magari tarehe 22 june @Langley Speedway in Virginia

No comments: