



Hizi ni baadhi ya Picha katika kuonyesha shughuli nzima ilivyofanyika katika kutoa heshima za mwisho kwa marehemu mangwea na watanzania waliojitokeza huko south afrika
Mwili wa marehemu unategemea kuwasili Kesho saa nane mchana na shughuli zote zitafanyika pale Leaderz club kabla ya kusafirishwa tena kwenda kupumzishwa kwa Amani nyumbani kwao Morogoro
No comments:
Post a Comment