Blogger Widgets Blogger Widgets

Monday, June 3, 2013

PREZZO AMFARIJI HUDDAH BAADA YA KUTOLEWA BBA


A big thanks to all who supported our rep, Huddah, in the on-going BBA game. Africa decided. We respect that. haya ni maneno ambayo Rapper kutoka kenya Prezzo alipost kwenye moja ya social network akionyesha jinsi gani alikuwa pamoja na wakenya wengine wakimsapoti Huddah ambaye alitolewa jana katika jumba la Big Brother Africa the Chase .
Pia Prezzo alienda mbele zaidi kwa kusema kuwa huddah asijali kwasababu tayari yeye(huddah) ni star.."Congratulations @huddahmonroe 254 is proud of u. Regardless to ur eviction, know tht ur a STAR! God Bless"
huddahhhh.jpg

No comments: