Blogger Widgets Blogger Widgets

Monday, June 3, 2013

NU HIT: DJ CLEO- ZOOMA (AUDIO)


Hii ni nyimbo mpya ya Dj cleo kama utakuwa humkumbuki ni yule aliyehit na track ya " Facebook" jamaa kaachia tena track hii ikiwa ni nyimbo ya kusindikiza album yake mpya ambayo anategemea kuirelease hivi karibuni album imebeba jina la ""Eskhaleni 9"" Track hii inayoitwa zooma ni club banger hit so kwa wale mnaopenda kwaito hii ni yenu Mazee



No comments: