Blogger Widgets Blogger Widgets

Sunday, June 2, 2013

RADIO N WEASEL KUPIGA SHOW LEO USIKU NDANI YA BBA


Kundi kutoka nchini uganda ambalo sasa wanafanya vizuri katika Industry hii ya music baada ya kuwa wawakilishi pekee kutoka East afrika katika Tunzo za BET, pia kuna Tunzo Nigeria wanatoa jamaa wamechagulia na juzi juzi kuna tuzo zilifanyika nchini Ghana jamaa walikuwepo ingawa hawakufanya poa hapa nawazungumzia GOODLIfe wanajulikana zaidi kama Radio n Weasel
jamaa wamezidi kuzihilisha kuwa nyota yao inang'aa baada ya kuchaguliwa kwenda kupiga show katika jumba la Big Brother show ya kumtoa mshiriki mmoja...



show hiyo mbayo itafanyika usiku wa leo mida kama ya saa mbili hivi
Pia inasemekana jamaa hao wako South Afrika kwaajili ya kushoot Video yao mpya
cheki picha weasel akifanyiwa make up kidogo kwaajili ya kushoot video hiyo
Makeup before video shoot

make up time mazee so stay connect wit ur favourite blog for more...

No comments: