Blogger Widgets Blogger Widgets

Sunday, June 2, 2013

WATCH:MUME NA MKE WANAPOKUWA KAZINI (JAY Z& BEYONCE)

Hii ni show ambayo imefanyika jana London's Twickenham Stadium ambapo iliwakutanisha jay z na Baby mama wake Beyonce show hiyo ilikuwa kampeni maalumu kwaajili ya kutunisha mfuko wa haki za wanawake wenyewe watasha a.k.a wadhungu au ukipenda rangi nyeupe waliita jina la Chime For Change na kulikuwa na performance nyingine kutoka kwa akina Mary J.Blige, Timbaland,Jennifer Lopez, Modanna, Jessie J, Iggy Azalea and more....

No comments: