Jana night a.k.a usiku kulikuwa na uzinduzi wa video ya Ay, Mwana FA & j martins " bila kukunja goti" ambapo pia ilikuwa ni siku ya kuazimisha miaka kadhaa ya Msanii Ommy Dimpoz na Mc wa shughuli nzima alikuwa J martins , katika kuonyesha upendo wake j martins a star from nigeria alimzawadia Ommy gift hiyo ya mkufu yenye gharama ya dola 10000 za us kwa kibongo bongo ni zaidi ya shilingi millioni 16, zawadi yenyewe ndiyo hiyo unayoiona hapo.
No comments:
Post a Comment