Blogger Widgets Blogger Widgets

Sunday, September 15, 2013

RAPPER GUCCI MANE AKAMATWA NA POLISI KWA TUHUMA MBALIMBALI

Artist: The rapper, pictured here at the 2010 Vh1 Hip Hop Honors, released four mixtapes earlier this year

Imeripotiwa kwamba rapper Gucci mane amekamatwa na polisi jana asubuhi katika mji wa Atlanta, rapper huyo mwenye umri wa miaka 33 amekamatwa kwa kosa la kukutwa na siraha, marijuana a.k.a bangi na pia kosa jingine ni kumtukana bwana afande a.k.a policeman

Smile: Gucci, whose real name is Radric Davis, has been arrested multiple times

Rappa huyo mwenye jina halisi la Radric Davis ambaye kwa wiki za hivi karibuni amekuwa akiact tofauti baada ya kuandika kwenye ukurasa wake wa twitter kuwa amewahi kufanya sex na Nick minaj, Keyshia Cole na vile vile mke wa rappa mwenzake tyga. siku mbili baadae aliamua kufuta account yake ya twitter na kumpa shutuma zote manager wake wa zamani kwamba ndiye aliyeandika tweet hizo.

Jamaa amekuwa mtu wa kuharibu sheria kila mara ikumbukwe mapema mwaka huu alishutumiwa kwa kosa la kumpiga shabiki mmoja kwa chupa ya shampeni.

No comments: