Blogger Widgets Blogger Widgets

Sunday, September 15, 2013

KAMALI HAINA MWENYEWE: P.DIDY ALIWA DOLA MILLIONI MOJA NA RICK ROSS

What's $1 million between friends: Diddy and Rick Ross were recording in the studio when the money changed hands

Kwa watu wengine ingekuwa ni bonge moja la hasara plus machozi kama bomba la mvua lakini ni tofauti kwa mzee mzima Didy ambaye hakuonyesha kutokujari kuliwa na swaiba wake rick ross zaidi zaidi alisema "I just lost a million dollars. It ain't nothin #SuckMyD**kB***h"

Didy ambaye ana umri wa miaka 43 pia ni mjasiriamali mwenye kukadiliwa kuwa na utajiri unaofikia dola $580 million. p.didy na rick ross ambao walikuwa wakicheza kamali hiyo huku Didy akiwa kashikilia chupa ya CIROC vodka ambayo ni brand yake mwenyewe

No comments: