Blogger Widgets Blogger Widgets

Sunday, October 20, 2013

HIZI NDIO HELA ALIZOTUMIA JUSTIN BIEBER KUWALIPA STRIPPERS KWA AJILI YA BURUDANI

Paying customers: Justin and his entourage allegedly left wads of dollar bills for the strippers

Ukisikia jeuri ya pesa basi hii ndiyo jeuri ya pesa, hii imetokea kwa young star ambaye sasa amezidisha vituko kutokana na kukumbwa na scandal nyingi si mwingine bali ni JB wengi wanamwita Justin Bieber baada ya juzi ijumaa kutinga club moja iitwayo gentlemen's club V Live ambapo JB aliingia akiwa na wapambe wake na baadae akajoin na bondia Floyd Mayweather.

Bad boy: Justin partied alongside a topless woman and boxer Floyd Mayweather

JB akiwa na Floyd Mayweather pembeni akiwa stripper anayedai justin alimshika T**o

Baada ya mizuka kumpanda alijikuta akidance pamoja na strippers wanaopatikana katika club hiyo mbaya zaidi alikuwa akiwa watouch makalio ambapo ni nadra sana kwa artist wengine kufanya hivyo hata hivyo stripper mmoja alifurahia sana kitendo hicho cha kushikwa kalio na JB hadi akafunguka kwenye ukurasa wake wa twitter

'He touched my ass I almost fainted [sic],'"

'I've Danced For A lot Of Celebrities And They Normally Don't Phase Me But Justin just Had Me In Shock !''.aliongezea stripper

No comments: