
Kumekuwa na uvumi kwamba star wa BBA the chase Angelo amemuacha ms.Beverly Osu's mshiriki kutoka Nigeria na kuamua kurudiana na mpenzi wake wa siku nyingi aitwaye Candice Arends chanzo cha taarifa hizo kinadai jamaa wiki kadhaa alienda Nigeria na ikaandaliwa show lakini cha kushangaza Angelo
hakuwa close sana na Beverly ingawa walifanya booking ya chumba kimoja katika Hotel moja maarufu Naija but it seems hakuna good things kilichoo happen between em na mbaya zaidi ilionekana Bev. ni mtu aliyekosa Raha.. sasa sijui ndo jamaa alienda kubwaga manyanga mimi na wewe hatujui ila kikubwa jibaba karudiana na manzi yake ya zamani

Hii ni picha ambayo ilichukuliwa baada ya jamaa kutembelea Nigeria lakini tizama jinsi ambavyo Bev. kaweka ngumu usoni,Angelo alipoulizwa kuhusiana uhusiano wake na Bev alidai tusubiri mpaka vitu vitakapo kuwa serious kati yao then atafunguka.
No comments:
Post a Comment