Blogger Widgets Blogger Widgets

Friday, October 18, 2013

HUYU NDIO MWIGIZAJI WA KWANZA KUTOKA EAST AFRICA KUIGIZA NA AKINA BRAD PITT.

Lupita

Lupita Nyong'o anayekadiliwa kuwa na age ya miaka 30 amefanikiwa kufikia ndoto ambayo waigizaji wengi kutoka East Africa wanaiota kila siku;Ndoto hiyo ni kufanya kazi ama kuigiza kwenye industry ya hoollywood sasa Lupita ambaye ni mwigizaji kutoka kenya kavunja mzizi wa fitina baada ya kupata deal hilo la kufanya kazi na Brad pitt ambapo yeye mwenyewe alifunguka na kusema ni ndoto aliyokuwa akiiota mara kwa mara na sasa imekuwa kweli na anajiona mtu mwenye bahati sana.

“When I was cast in his film [I thought] surely I was going to meet him one day. I wouldn’t say I was star struck. I was stunned. I was like, ‘Yup, this is actually happening.’ “ alisema kwa furaha mwanadada huyo ambaye pia yupo kwenye tuzo oscar.

No comments: