Blogger Widgets Blogger Widgets

Wednesday, October 16, 2013

NICK MINAJ AMEPROVE INSTAGRAM JINSI GANI HAPENDI KUVAA BRA...!

Mwanadada pekee anayewakilisha kundi la Cash money Nick minaj amezihirishia umma kuwa yeye si mpenzi wa vazi la ndani a.k.a blauzi hii imedhihilika kupitia account yake ya Instagram baada ya kupiga picha mbali mbali akiwa hana vazi hilo maarufu kwa jinsia ya kike kila mdaku nikijaribu kupenyeza jicho kwenye kifua cha nick minaj nakutana na Mtindi wa tanga ..hizi ni baadhi ya picha zake.

No comments: