Blogger Widgets Blogger Widgets

Sunday, October 20, 2013

PROMO ONLY:THE MIXTAPE OF BUNDUKI VOL.1

TAMADUNI MUZIK wanakuletea mixtape ya bunduki vol.1 umo ndani kukiwa na vichwa kibao vya hip hop; Mixtape hiyo itakayo zinduliwa November 2 ndani ya kilinde cha nyumbani hapa nazungumzia Msasani club Baada ya hapo Mixtape hiyo itakuwa available mitaani.

katika kuizingua Mixtape hiyo pia itaenda sambamba na Tamasha la Hip Hop la HIP HOP FESTIVAL MECHANDISE. nazani umejionea kwenye cover hapo juu vichwa vitakavyokuwepo kwenye mixtape hiyo.#So Dont Miss your copy.

No comments: