Hawa ni baadhi ya producers kutoka Tanzania ambao walihudhuria semina hiyo ambayo ilikuwa inawapa mwanga jinsi sheria ya haki miliki tanzania inavyoendeshwa na nini haki yao kama producers:Semina hiyo iliyoemdeshwa na John Kitime ambaye ni mwenyekiti wa Mtandao wa Wanamuziki, Semina hiyo ilifanyika katika jengo la Sayansi na Teknolojia
No comments:
Post a Comment