Blogger Widgets Blogger Widgets

Saturday, March 15, 2014

BAADA YA HABARI ZA KUSHUSHIANA MAKONDE SASA DIAMOND PLATINUMZ NA WEMA MAMBO NI "SHIII...


Stori kutoka kwa shuhuda kwamba juzi March 13 2014 kulitokea ugomvi studio baada ya Ommy Dimpoz kupost picha akiwa studio na Diamond na mwimbaji Mkenya Victoria Kimani ambae amewahi kuingia kwenye headlines kwamba ana uhusiano wa kimapenzi na Diamond.
Dimpoz 2
                              (hii ndiyo iliyoleta ugomvi)
Shuhuda anasema tatizo lilikuja baada ya video hiyo kusambaa na kumbe Diamond hakumuaga mpenzi wake Wema kwamba angekua studio na Victoria, hapo ndio Wema anadaiwa kwenda na kufanya fujo studio. lakini kama ujuavyo wagombanao ndiyo wapatanao huu usemi ulitimia usiku wa kuamkia leo baada ya Diamond kukisanua na bonge la picha likimwonyesha yeye akiwa na mama la mama wema sepetu pamoja na licaption "shiiii...bado twalala.."

No comments: