Album ya Lil Wayne inayotarajiwa kutoka mwaka huu ni album yake ya mwisho kama solo artist,Lil Wayne anasema amekusudia kustaafu muziki baada ya kuachia album yake ya mwisho ya The Carter V lakini kama kuna mtu atajitokeza na atake Wayne afanye album nyingine baada ya hii, ni lazima amlipe dola za Kimarekani kati ya milioni 25 mpaka 30.
Wakati huo huo ametokea kwenye collabo na kundi lake la Young Money kwenye shooting ya nyimbo mpya iitwayo “Senile” ambapo humo ndani utawapa Nicki Minaj, Lil Wayne, Mack Maine,Birdman, Tyga na Euro.
No comments:
Post a Comment