Blogger Widgets Blogger Widgets

Thursday, March 13, 2014

PHOTO:TIZAMA MSANII MKUBWA WA NIGERIA ALICHOKIFANYA KWENYE MTANDAO


Nikisema sipendi Gym watu hunishangaa lakini ukweli ni kuwa nikienda Gym nikisha toka tu nawaza kupiga mtu Lol, Sasa shangaa hii ya Msanii flavour  ambaye ni mnageria amewashangasha wengi ambao hawakutegemea kama angeweza kufanya kitu hicho baada ya kupiga picha yenye utata kwa jamii inayoonyesha sehemu kubwa ya mwili wake nje na kupost picha hiyo twitter na kusambabisha maswali mengi vichwani kwa fans wake huku watoto wa kike wakisifia kitendo hicho.
Hii ni nguvu kasi ya mitandao ya kijamii au hobbie yake?

No comments: