Blogger Widgets Blogger Widgets

Thursday, March 13, 2014

MSANII IBRA DA HUSTLER APELEKWA REHAB NA MAMA YAKE BAADA YA KUZIDIWA NA MADAWA YA KULEVYA

Baada ya habari ya  Msanii mwenzake Lord Eyez kukumbwa na kesi ya wizi pamoja na kusimamishwa WEUSI, msanii mwingine wa Hip Hop na aliyewahi kuwa katika kundi la Nako2nako na baadae akaamua kuwa solo artist,Ibra Da Hustler hivi majuzi juzi alipelekwa na mama yake pale Kigamboni Sober House kwa ajili kusaidiwa kuacha matumizi ya madawa ya kulevya baada ya kuzidiwa sana na madawa hayo mama Ibra ameomba watu watoe msaada kwa watumiaji ili waweze kuacha matumizi ya madaya hayo huku akiomba watu wamsapoti katika kipindi hiki kigumu cha kumuuguza mwanae.

No comments: