Blogger Widgets Blogger Widgets

Thursday, March 13, 2014

UHT:BARNABA BOY KUWA MIONGONI WA WASANII WENYE TV SHOW IN TZ


Msanii kutoka Tanzania House of Talent(THT) Barnaba Boy a.k.a Baba Steve anaingia kwenye orodha ya wasanii wenye vipindi vya Luninga nchini, Barbana amefunguka kuwa hivi karibu ataanza kukirusha vipindi vyake kupitia youtube na website kabla hajakipeleka rasmi kwenye vituo mbalimbali vya  Tv,Amesema katika kipindi hicho atakuwa anaongea na baadhi ya wasanii na kuwohoji maswali mbalimbali huku lengo kubwa ni kutaka kujua uwezo wao na ufahamu wao kuhusiana na music waufanyao na baadae kuwapa darasa huru kutokana ujuzi na uwezo alio nao kwa kuwafundisha vitu vichache avijuavyo yeye kama barnaba

No comments: