
Producer Bob Manecky anayesababisha na pia ndo Founder wa A.M Records amefanya ngoma nyingi sana hapa Tz nikianza kuzitaja nazani nitamaliza page nzima lakini ya hivi karibuni ni hii ya M-RapLion ambapo ndani kuna sauti ya Jux nyimbo inaitwa"USIENDE MBALI"
HAPA TUNA...

Ambapo kuna producer wa wawili mahiri kuna Hermy B na Pancho Latino, pia Studio yao imeshafanya kazi na ma artist kibao nikisema nitaje sizani ka nitamaliza ila kifupi ni pamoja na M-rap ambaye alikuwa chini ya management ya BHitz kabla ya mkataba wake kuisha

TRACK IPI WE UMEIELEWA ZAIDI...NO BIFU NI MUSIC ISSUE...!!!
1 comment:
EEH BWANA DUDE LA PANCHO LATINO LIMESIMAMA KINOMA
Post a Comment