Blogger Widgets Blogger Widgets

Thursday, February 28, 2013

NE-YO kumbe Aliwahi kuoa akiwa na miaka 19



































Ne-Yo akubali kuwa amewahi kuoa na ilitokea akiwa na miaka kumi na tisa alisema hayo wakati akihojiwa na hollywood news weekend iliyopita alisema hayo wakati akitoka kuandika nyimbo yake mpya katika club ya swanky club huko Los Angels





















alipoulizwa kwanini hakuwahi kusema katika vyombo vya habari. Alisema “Nobody really knows that. Nobody ever really asked.” na akazidi kusema kuwa ndoa yake haikuweza kudumu kwa sababu alikuwa anataka kuendeleza fani yake ya music kwahiyo akajikuta muda mwingi anatumia kwenye music kuliko mke wake “I wanted to do this and she didn’t want me to do this, and this is honestly the only thing I’ve ever loved so I chose this over her. And now I’m here and I don’t know where she is so… Na na na na!”




No comments: